Habari kubwa za magazeti ya leo tarehe 9/5/2024 kurasa za mbele na nyuma.
READ MORE- Habari, KIJAMII
- May 8, 2024
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Theopista Mallya ametoa wito kwa wananchi wote kuendelea kushikirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili kuweza kudhibiti vitendo hivyo na kuwachukulia hatua stahiki kwa kuwafikisha katika vyombo vya Sheria. Kamanda Mallya ametoa wito huo leo Mei 8,2024
READ MORE- Habari, Kilimo
- May 8, 2024
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema wizara yake imejipanga kuyasimamia vyema mazao ya mifugo hususan maziwa, nyama na ngozi ili yazalishwe kwa ubora na kushamirisha biashara kwa lengo la kuyafanya mazao hayo kuwa na mchango mkubwa zaidi kwenye pato la Taifa. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Nyama na
READ MORE